Promotion

Ofa ya TECNO VIMBA Season inaelekea ukingoni, wahi sasa dukani ujishindie zawadi yako

Kampuni pendwa ya TECNO mwanzoni mwa mwezi huu wa saba, walikuja na ofa kabambe ya TECNO Vimba Season ambapo iliambatana na msimu wa sabasaba.

https://www.instagram.com/p/Blc3oOBn5gw/?taken-by=tecnomobiletanzania

Kupitia Ofa hiyo TECNO wanakuletea punguzo kabambe la bei katika kila simu utakayonunua kwenye maduka yao Kama hiyo pia haitoshi, unapata nafasi ya kushinda zawadi papo kwa papo ikiwemo zawadi za simu.

Unachotakiwa kufanya kwa sasa ni kutembelea maduka yote yanayouza simu, nunua simu ya TECNO, kisha utapata nafasi ya kushiriki kwenye ‘Lucky Draw’ hapo hapo dukani ambapo utaweza kujishindia zawadi kemkem.

Zawadi zitakazoshindaniwa kwenye ‘Lucky Draw’ ni pamoja na simu (Spark 2, Spark, Camon X Pro, Camon X, Camon CM, F3, F2), Birika la Umeme, Pasi, na zawadi nyingine nyingi.

Msimu huu wa Vimba Season unamalizika tarehe 30/07/2018. Kama unavyoona hapo mdau ni kwamba umebakiwa na wiki hii tu! Bila kuchelewa, wahi sasa kutembelea maduka ya TECNO na ujinunulie simu yako mpya kabisa ili uweze kufurahia punguzo kubwa la bei na pia upate kujishindia zawadi kemkem.

Pia usisahau kua unaweza kujishindia zawadi kwa kupiga picha yeyote yenye nembo ya ‘TECNO Vimba’ ukiwa dukani hapo na upost kwenye IG & FB. Usisahau kuweka hashtag ya #TECNOVimbaseason kwenye IG, na kututag @TECNO Mobile Tanzania kwenye FB. Share kadri uwezavyo na utakua na nafasi ya kushinda simu mpya kutoka TECNO.
Kwa maelezo zaidi, tembelea http://www.bbs.tecno-mobile.com
TECNO Vimba Season hakika ndio habari ya mjini kwa mwezi huu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents