Promotion

OFA ya Vimba Season: Kampuni ya TECNO kutoa zawadi za simu, Birika na Pasi za umeme kwa wateja wao (+video)

Kampuni ya TECNO kupitia OFA yao ya #TECNOVimbaSeason wamewaletea wateja wao zawadi kibao ikiwemo Simu, Pasi ya umeme, Birika za umeme na zawadi nyingine ndogo ndogo ambazo wateja wao watajishindia baada ya kununua simu yoyote ya Tecno kutoka katika Maduka yao.

OFA hiyo imeanza tarehe 1 Julai 2018 na inaisha Julai 30, 2018. Tazama video hapa chini kujua mengi kuhusu Ofa hiyo ya Vimba Season.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents