Soka saa 24!

Ofisi ya CAG yakaguliwa rasmi, Spika Ndugai asema amepokea taarifa na ataisoma bungeni ‘Hapa kila mtu atakaguliwa’ (+video)

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai Leo Mei 16, 2019 amesema amepokea taarifa ya kufanyiwa ukaguzi kwa ofisi ya CAG Profesa Assad na yupo tayari kuikabidhi kwenye kamati ya PAC na kueleza kuwa baada ya uchambuzi ataisoma taarifa hiyo bungeni.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW