Tupo Nawe

Ofisi ya mkuu wa mkoa Mbeya yabomolewa kwa uchakavu “Ilijengwa mwaka 1961, Ofisi mpya kugaharimu bilioni 5.9” – Video

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila inabomolewa kutokana na uchakavu wa majengo ambayo yalijengwa mwaka 1961, ili kupisha ujenzi wa ofisi mpya utakaogharimu shilingi bilioni 5.9.

Ofisi hiyo itakapo kamilika itakuwa na ghorofa 4 ambapo itakuwa na ofisi ya mkuu wa mkoa, ofisi ya katibu tawala mkoa na ukumbi wenye uwezo wa kuingia watu wasiopungua 255.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW