Uncategorized

Ole Gunnar Solskjaer atofautiana na Mourinho kwa hili, awaonya vijana wake kutokuwa wajinga

Kocha wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer amewapa nafasi ya kula sikukuu ya Christmas wachezaji wake huku akiwaonya kutokuwa wajinga kwa kuonyesha uungwa huo.

Manchester United interim manager Ole Gunnar Solskjaer has warned his players not to be fooled by his nice guy persona

Kipindi cha Jose Mourinho alikuwa akikiamrisha kikosi chake kufanya mazoezi majira ya saa 10, za jioni siku ya Christmas kabla ya kurejea Lowry Hotel. 

Solskjaer poses with members of his backroom staff having been installed as Manchester United's interim manager this week

Lakini kwa meneja Solskjaer ametofautiana na Mourinho kwa hili, atawapatia muda wa mapumziko wachezaji wake ili kufurahi na familia zao kipindi hiki cha sikukuu kabla ya kuwakabili Huddersfield Jumatano ya Desemba 26.

Solskjaer and his coaching staff are hoping to lift United following a dreadful start to the season under Jose Mourinho

Hata hivyo meneja huyo anaamini kuwa wachezaji wake watakuwa wanakosea kama watafikiri hawezi kuendana na Sir AlexFerguson.

Solskjaer, an Old Trafford legend, takes charge of the team until the end of the season as the hunt for a new boss takes place

‘’Siofii kusimamia sheria, unafahamu ukiwa na watoto kama wanakata tamaa hupaswi kuwapatia chocolate,si ndiyo?,’’ ameuliza meneja huyo
Solskjaer wakati wa mazungumzo yake na waandishi wa habari.

‘’Kwahiyo unapaswa kuwajali wachezaji sawa na vile unavyowajali watoto wako kwasababu unahitaji kitu bora kutoka kwao, unahitaji kuwaekea mipaka na kuwasaidia,’’

Meneja huyo mwenye umri wa miaka 45 ameonekana kutotumia mabavu katika nafasi yake hali ambayo ni tofauti na aliyemrithi mikoba hiyo Mourinho ambaye alifikia kipindi mpaka kukosana na mchezaji wake Paul Pogba.

The 45-year-old Norwegian arrives for his first press conference as United's caretaker manager ahead of the Cardiff match

Solskjaer amethibitisha pia kufanya mazungumzo na kiungo wa timu hiyo Pogba na mastaa wengine juu ya utumiaji wao wa mitandao ya kijamii.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents