Moto Hauzimwi
Shinda na SIM Account

Omarion aachia EP yake mpya yenye ngoma 4

Msanii kutoka Marekani Omarion ameachia EP yake mpya ambayo ina nyimbo nne ndani yake.

Ngoma ambazo zipo katika EP hiyo ni pamoja na ‘Open Up’, ‘Soul’ na ‘Flight’ ambazo amemshirikisha C’zar, na ‘Been Around’.

Baada ya kuachia EP hiyo, mkali huyo wa muziki R&B ameonekana kwenye kipande cha video akisema, “I have done a lot in my career. I’ve done so much in my career that, the meaning of everything has changed. It’s way more personal.”

Kwa sasa EP hiyo imeanza kupatikana kwenye mtandao wa Spotify.

Leave a comment

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW