Burudani

Omarion akunwa na lugha ya Kiswahili

Msanii wa muziki kutoka Marekani, Omarion ambaye ameshirikishwa na Diamond kwenye wimbo wa ‘African beauty’ ambao unapatikana kwenye albamu ya A Boy From Tandale, ameibuka kuzunugumzia wimbo huo kwa mara ya kwanza tangu ulipoachiwa rasmi mitandaoni.

Omarion ametumia mtandao wa Instagram ameonyesha kufurahishwa na wimbo huo hasa kwenye sehemu ambazo aliimba kwa lugha ya kiswahili.

Kupitia mtandao huo, Omarion ameandika:

Penzi ntalipamba ngonjera,huba kama tanga segera,kwa viuno ka baikoko kutoka manzabay,picha twazitwanga kisela,post insta wanga kuwakera. ^!FUN FACT^! Micheal Jackson sung Swahili on “Liberian girl” & “wanna be start’n somethin”. What a pleasure I have continuing the work of my musical forefather M.J. connecting our understanding of one another thru culture & language. It’s all love! @diamondplatnumz – African beauty.
I’m around the globe with this!! 🌍.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents