Muziki

Ommy Dimpoz aachia wimbo ‘Cheche’ baada ya kutua RockStar4000

Msanii wa muziki, Ommy Dimpoz ameachia wimbo wake mpya ‘Cheche’ ikiwa ni saa chache toka atangaze kusaini katika label ya RockStar4000. Wimbo huo ameuachia kupitia mtandao wa kuuza nyimbo za wasanii mkito.com.

Muimbaji huyo kwa sasa ameungana na Alikiba ambaye alijiunga na label hiyo miaka 6 iliyopita, ambapo wiki iliyopita alitangazwa kuwa mmoja kati ya wamiliki wa label hiyo.

Pia label hiyo nchini Tanzania inafanya kazi na muimbaji Lady Jay Dee pamoja na Baraka The Prince.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents