Tia Kitu. Pata Vituuz!

Ommy Dimpoz akiwa na Nandy, aachia video ‘Kata’ iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu

Msanii wa muziki Ommy Dimpoz ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Kata’ akiwa na muimbaji Nandy. Video hiyo ilikuwa inasubiriwa kwa hamu kutokana na picha zilizokasambaa mitandaoni nikionyesha maandalizi ya kazi hiyo mpya.

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW