Ommy Dimpoz awabwaga Alikiba, Diamond Platnumz, Harmonize Rayvanny tuzo za AFRIMMA, Burna boy Fally Ipupa watisha – Video
Ommy Dimpoz awabwaga Alikiba, Diamond Platnumz, Harmonize Rayvanny tuzo za AFRIMMA, Burna boy Fally Ipupa watisha - Video
Mwimbaji wa muziki wa Bongo Flebva @ommydimpoz ameipeperusha vyema bendera ya Tanzania baada ya usiku wa kuamkia leo kuibuka mshindi wa kipengele cha Msanii bora wa Kiume Afrika Mashariki katika tuzo za AFRIMMA 2019. ambapo katika kipengele hicho waliokuwa wanakiwani ni:-
Best Male East Africa
- Ali Kiba — Tanzania
- Diamond Platnumz — Tanzania
- Harmonize — Tanzania
- Nyashinski — Kenya
- Juma Jux — Tanzania
- Eddy Kenzo — Uganda
- Khaligraph Jones — Kenya
- Ommy Dimpoz — Tanzania:-Winner
- Rayvanny — Tanzania
- The Ben — Rwanda
Tuzo hizo zilizofanyika mjini Dallas Marekani zilishuhudia wengi wakiandika historia ikiwemo Akothee wa Kenya ambaye ameondoka na tuzo ya msanii bora wa Kike Afrika Mashariki.
Ambapo alikuwa akishindana na:-
Best Female East Africa
Vinka — Uganda
Victoria Kimani — Kenya
Vanessa Mdee — Tanzania
Akothee — Kenya
Nandy — Tanzania
Sheebah Karungi — Uganda
Fena Gitu (Fenamenal) — Kenya
Knowles Butera — Rwanda
Rema Namakula — Uganda
Juliana Kanyomozi — Uganda
https://www.instagram.com/p/B4HhssaAKwM/
https://www.instagram.com/p/B4HXGgYgi3d/
Wengine ni Burna Boy wa Nigeria ambaye ametajwa kama msanii bora wa mwaka kwa Afrika, ambapo alikuwa akishindana na:-
Artist of The Year
Davido — Nigeria
Diamond Platnumz — Tanzania
Fally Ipupa — Congo
Wizkid — Nigeria
Burna Boy — Nigeria
Black Coffee — South Africa
Sarkodie — Ghana
Yemi Alade — Nigeria
Busiswa — South Africa
Aya Nakamura — Mali/France
marehemu DJ Arafat ametajwa mshindi wa kipengele cha Best Francophone, Toofan wa Togo kama Best Group, Fally Ipupa, msanii bora wa Kiume Afrika ya Kati ambapo alikuwa akishindana na :-
Best Male Central Africa
Fally Ipupa — Congo
Dadju — Congo
Stanley Enow — Cameroon
Preto Show — Angola
Naza — Congo
Ya Levis — Congo
Salatiel — Cameroon
Matias Damasio — Angola
Anselmo Ralph — Angola
C4 Pedro — Angola
By Ally Juma.