Burudani

Ommy Dimpoz kutumbuiza nchini Burundi kwenye sikukuu ya Eid

Wananchi wa Burundi huenda wakawa wa kwanza kuisikia Tupogo ya Ommy Dimpoz live. Hitmaker huyo kutoka Tanzania anatarajiwa kutumbuiza nchini humo kwenye sikukuu ya Eid mwanzoni mwa mwezi ujao. Tazama poster hiyo kufahamu zaidi.

Ommy Dimpoz

Mtazame Ommy Dimpoz hapa alipokuwa akiuelezea wimbo wake mpya, Tupogo atakaouachia hivi karibuni.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents