Burudani

Ommy Dimpoz na Yamoto Band waitikisa Muscat, Oman (Picha)

Ommy Dimpoz na Yamoto Band usiku wa kuamkia leo walidondosha show ya kukata na shoka mjini Muscat, Oman.

20150328073206

Kwenye show hiyo iliyohudhuriwa na umati mkubwa wa wapenzi wa muziki, kila kitu kilikuwa kikipigwa live.

20150328073206 (3)

Kwa mujibu wa vipande vya video alivyoweka Ommy kwenye mtandao wa Instagram, wimbo wake mpya Wanjera ulionekana kushangiliwa zaidi huku mashabiki wakitamani kumuona Wema Sepetu live.

20150328073205

Pamoja na Wanjera, Ommy alizikonga nyoyo za wahudhuriaji kwa hits zake za zamani zikiwemo Me and You, Baadaye, Tupogo, Nai Nai na Ndagushima.

Nao Yamoto Band walitumbuiza nyimbo zao zote zinazotamba.

Hizi ni baadhi ya picha za show hiyo.

20150328073206 (7)

20150328073206 (1)

20150328073206 (2)

20150328073206 (4)

20150328073206 (5)

20150328073206 (6)

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents