Uncategorized
Ommy Dimpoz X Alikiba X Cheed waachia video ya wimbo mpya ‘Rockstar’ – Video
Wasanii wa muziki kutoka lebo ya muziki ya Rockstar ambao ni Ommy Dimpoz, Alikiba na Cheed wameachia video ya wimbo mpya unaokwenda kwa jina la Rockstar. Wimbo hii imefanywa na Director Kevin Bosco JNR kutoka kenya
Ally Juma.