Burudani

Omotola kuja na ‘After Ego’

By  | 

Msanii wa filamu kutoka nchini Nigeria, Omotola Jalade Ekeinde anatarajiwa kutoa filamu yake mpya ifikapo Julai 22.

Filamu ya ‘After Ego’ itaoneshwa kwa mara ya kwanza Julai 7 mwaka huu. Huu ni ujio mpya wa mwanadada huyo ambaye alikuwa kimya kwa takribani miaka mitatu katika  filamu.

“Every year you have someone asking me, “Omotola are you not doing movies again? Why are you not in movies?” but I said to myself until I find that project.,” amesema Omotola.

Mrembo ameongeza “It doesn’t have to be a multi-million naira project, but when I find that movie, that setup, that character that inspires me, I don’t mind even investing in it, but I will do it.”

Na Laila Sued

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments