Michezo

O’neal akomalia Madogo


Klabu ya mpira wa kikapu Boston Ceitilcs imeingia mkataba na mkongwe wa mchezo huo Shaquille O’neal,kwa muda wa miaka miwili.

Oneal mwenye miaka 38,ataanza msimu wake wa 19 katika ligi kuu ya mpira wa kikapu ya NBA akiwa katika kikosi cha Ceitics ambacho kitamkosa mchezaji wake wa kati Kendrick Perkins.

Pamoja na ukongwe wake bado O’neal ameshinda ubingwa wa NBA mara nne,mara tatu kati ya hizo akiwa na Los Angeles Lakers na mmoja akiwa na Miami Heat

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents