Siasa

Ongeza Siku kwa Kucheka: Msikilize Mkenya huyu akimlaumu Obama kuiruka Kenya kwenye ziara yake

Rais wa Marekani Barack Obama na mkewe Michelle mwezi ujao atakuwa na ziara katika nchi tatu za Afrika zikiwemo Tanzania, Afrika Kusini na Senegal.

Ziara hiyo itaanza June 26 – July 3. Hata hivyo kitendo cha Obama kuiruka Kenya nchi anayotokea baba yake mzazi, kimewaumiza wakenya wengi hasa ukizingatia kuwa hajawahi kuitembelea nchi hiyo tangu aingie madarakani.

Msikilize Mkenya huyu akilalamikia kitendo hicho. Tunaamini utacheka sana.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents