Habari

Open Mic ya Marco Chali kufanyika tena Jumamosi hii jijini Dar

Baada ya kufanyika kwa mara ya kwanza huko Mwembe Yanga, Temeke wiki kadhaa zilizopita, shindano la Open Mic linaloandaliwa na Marco Chali Foundation linatarajiwa kufanyika tena Jumamosi hii.

BLSJcAXCIAAE7jf

“Marco Chali Foundation epic open mic inachukua hatua nyingine tena, baada ya kumaliza Mwembe Yanga, sasa ni tarehe 15 mwezi wa 6, yaani Jumamosi ya kesho kutwa. Epic Open mic na Marco Chali Foundation tafanyika pale ofisi za Zantel makao makuu kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 12 jionI,” ameandika Marco Chali kwenye website yake.

“Kama wewe ni msanii unaejiamini na unahitaji kusikilizwa kipaji chako cha kuimba au kuchana, njoo ili usikilizwe na Marco Chali,” ameongeza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents