Habari

Oprah Winfrey kutoa kitabu chake ‘What I Know for Sure’ mwaka huu

Malkia wa ‘talk show’ Oprah Winfrey anatarajia kutoa kitabu chake kitakachoitwa ‘What I Know for Sure’ baadae mwaka huu.

oprah2

Kitabu hicho kitatokana na essays ambazo amekua akiandika katika jarida la O,The Oprah Magazine kwa miaka 14 iliyopita, kampuni ya publishing Flatiron Books imethibitisha Jumatano hii.

Kitabu hicho kitakuwa katika mpangilio wa themes kama furaha, hofu na shukrani, pia itawawezesha wasomaji kupata mambo ya maisha ya ndani ya Oprah kama mawazo yake, ndoto zake, kampuni hiyo ilielezea.

‘What I Know for Sure’ kinatarajiwa kutoka September 2 mwaka huu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents