Picha

Orijino Komedi waenda ‘international’ wasaini mkataba na Nexus kwa kushirikiana na Rockstar 4000

Kundi la wachekeshaji maarufu wa Orijino Komedi, limeingia mkataba na kampuni ya Nexus Consulting Agency kwa kushirikiana na Rockstar 4000. Mkataba huo ni wa kwanza kwa wasanii wa runinga nchini kupitia kampuni hizo.

IMG_4542
Kuanzia kulia: Mpoki, Joti, Seki, Masanja na Mac legan

Nexus imenunua haki zote na usimamizi wa biashara na uongozi wa kundi hilo ambalo linajulikana sana hapa nchini kupitia vichekesho vyake kupitia vituo vya television na matamasha mbalimbali ambapo mkataba huu utakuwa kwajili ya kusimamia kipindi chao cha vichekesho kinachoundwa na wachekeshaji saba ambao ni Joti,Maclegan,Masanja,Mpoki na Vengu na Seki ambacho kimekuwa kikirushwa hewani kwa mfululizo mwaka mzima.

IMG_4537

IMG_4523

IMG_4528
Muigizaji mkongwe, Natasha

IMG_4517
Mkurugenzi Mkuu wa Nexus Consulting Agency Bw. Bobby Bharwani

“Kushirikiana na Orijino Komedi ni kitu muhimu kwa Nexus kwani siku zote imekuwa ikitamani kufanyakazi kwa ukaribu na kundi hilo na kudhamini kazi zao kutokana na vipaji vya hali ya juu walivyokuwa wakionyesha wasanii wa kundi hilo, alisema Mkurugenzi mkuu wa Nexus Bobby Bharwani.

IMG_4516
Mkuu wa Kitengo cha Vipaji na Uendelezaji wa Biashara wa Kampuni ya Rockstar 4000 Bi. Christine Mosha “Seven” akizungumza na waandishi wa habari

“Nimefuraishwa sana kufanyakazi na watu wenye vipaji vya hali ya juu na kuingia mkataba na kampuni ya Nexus Agency.Kwa pamoja tumedhamiria kukuza na kubadilisha dhama ya vipaji na sanaa kutoka ilipo na kuwa ya Kimataifa, ” alisema Seven.

IMG_4494

IMG_4495

IMG_4498

IMG_4505
Joti

IMG_4492
Seven akisisitiza jambo

IMG_4540

IMG_4539

IMG_4508
Seki

“Muandaaji wa vipindi vya orijino Komedi,Sekioni Davis “Seki” amesema wanafuraha kuingia mkataba wakazi na kampuni ya Nexus Agency na Rockstar 4000 Africa, ambapo ameahidi kufanyakazi kwa bidii kuhakikisha wanafikia malengo yao ya kukidhi haja ya soko.

IMG_4510
MC Legan

Kwa kushirikiana na Rockstar 4000,Nexus imesema inatambua na kudhamini vipaji hivyo itahakikisha inaendeleza vipaji vya wasanii wa kundi hilo ili vipaji vyao viweze kufikia kiwango cha juu vya ufanisi ndani ya Afrika na Kimataifa kwa ujumla.

IMG_4532
Monalisa

IMG_4535
Picha ya pamoja

IMG_4522
Mpoki

IMG_4519

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents