Tupo Nawe

Orodha kamili ya washindi wa tuzo za Bingwa za Kenya, Diamond shinda Msanii wa Mwaka

Tuzo za za Bingwa (2015) za nchini Kenya zimetolewa Ijumaa hii (Jan 29) jijini Nairobi, Kenya ikiwa ni mara yake ya pili kufanyika.

Bingwa Awards

Miongoni mwa wasanii wa Tanzania waliokuwa wakichuana kwenye kipengele cha ‘Msanii wa Mwaka Tanzania’ kwenye tuzo hizo ni pamoja na Diamond, Alikiba, Vanessa Mdee, Joh Makini, Ommy Dimpoz na Lady Jaydee. Diamond ndiye ameibuka mshindi wa kipengele hicho.

Hii ni orodha kamili ya washindi:

East Africa Artist of The Year – Sauti Sol

Artist of The Year Kenya – The Kansoul

Artist of The Year – Bahati

New Artist of The Year – Dufla Diligon

Songwriter of The Year – Visita

Artist of The Year Tanzania – Diamond Platnumz

Artist of The Year Uganda – Cindy Sanyu

Artist of The Year South Sudan – Mary Boyoi

Artist of The Year Rwanda – Knowless

Dialect Artist of The Year – Ken wa Maria

Performer of the Year – H Art The Band

Ever Relevant Artist of The Year – Wyre

Showbiz writer of The Year – Manuel Ntoyai ; The People Daily.

Showbiz Personality of The Year – Willis Raburu

Showbiz Magazine of The Year – Pulse Magazine

East Africa DJ of The Year– Dj Joe Mfalme

Deejay of The Year – Deejay Crossfade

Video of The Year – Papa Dennis

Video Director of The Year – Enos Olik

Entertainment Site of The Year – Mpasho

Come Back of The Year – Octopizzo

Album of The Year – Legends of Kaka -King Kaka

Song of The Year – Fimbo ya Tatu-Grandpa

Verse of The Year – Gabu -P-Unit

Radio Station Of the Year– Radio Maisha

Radio Presenter Of The Year– Rashid Abdalla – Qfm

East African Comedian Of The Year -Jalango’o

Legendary Award Of The Year– Fred Obachi Machoka; Radio Citizen

EAST AFRICAN Record label of the year– Grandpa Records

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW