Burudani

Oscars: Selfie ya Ellen Denegeres yawa tweet iliyokuwa ‘retweeted’ zaidi tangu Twitter ianzishwe

Ellen DeGeneres amevunja rekodi ya Twitter. Selfie ya staa huyo wa TV imekuwa retweeted zaidi tangu kuanzishwa kwa mtandao huo wa kijamii. Hadi sasa tweet hiyo iliyoandikwa ‘If only Bradley’s arm was longer. Best photo ever. #oscars’ imeshakuwa retweeted kwa takriban mara milioni 2.

BhxWutnCEAAtEQ6

Kwenye picha hiyo, Ellen anaonekana akiwa na Meryl Streep, Jennifer Lawrence, Julia Roberts, Brad Pitt, Angelina Jolie, Kevin Spacey, Bradley Cooper, Lupita Nyong’o na wengine.

Rekodi hiyo ilikuwa inashikiliwa na Barack Obama, kwa picha yake aliyomkumbatia mkewe Michelle Obama baada ya ushindi wa uchaguzi, ambayo ilikuwa retweeted mara 777,000.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents