Moto Hauzimwi

P Diddy atamani kuinunua ligi kuu ya mpira wa miguu Marekani (NFL)

Rapper P Diddy ametangaza hadharani nia yake ya kutaka kuinunua ligi kuu ya mpira wa miguu Marekani (NFL).

Uwamuzi huo umekuja kufuatia hali ya kibaguzi inayoendelea hivi katika taifa hilo, kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter Diddy alitangaza nia yake licha ya kuwa hakuna mipango ya kuiuza ligi hiyo.

“Black players are 70% of the NFL. We have the power to defend Colin Kaepernick and Jemele Hill from the forces that would silence them,” ameandika Diddy kwenda kwa Keith Boykin. Kuonyesha yupo serous na anachokisema rapper huyo akaongeza “a league where you can be yourself, have freedom to be a great human and protest for your people without being demonized for your beliefs.”

Kwa upande wa Kamishina wa NFL, Roger Goodel aliamua kuandika memo kwa timu 32 zinazoshirika ligi hiyo kutokufuata na kitendo cha kutofuata taratibu za kuimba wimbo wa taifa.

Akiongea na mtandao wa Reuters, Joe Lockhart ambaye ni mwenyekiti wa NFG amesema kuwa kinachoendelea katika a ligi hiyo kuhusiana na wachezaji. “Everyone at this point is frustrated by the situation, The commissioner and the owners do want the players to stand. We think it is an important part of the game,” alisema Lockhart.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW