Burudani
P-Funk atease ngoma aliyofanya na Ben Pol ‘I Knew That Girl’
Producer wa Bongo Records, P-Funk Majani yupo jikoni kwenye studio yake akitengeneza ‘bombshell’ za ngoma. Leo kupitia Youtube ameweka teaser ya wimbo alioshirikishwa Ben Pol. Jina la msanii aliyemshirikisha Ben Pol bado limewekwa kapuni. Msikilize Ben Pol akimuimbia msichana anayeng’aa kama taa hapa.