Burudani

P-Square na Jose Chameleone wajaza watu 72,000 uwanja wa Amahoro, Kigali

16035_393062534104136_2146727521_n

Kuashiria kuwa pesa wanayo, P-Square waliwasili jijini Kigali, Rwanda na private Jet. Hata hivyo siku za hivi karibuni hilo limekuwa jambo la kawaida hasa ukizingatia utajiri walionao.

P-Square ndani ya private jet walipokuwa wakielekea Kigali
P-Square ndani ya private jet walipokuwa wakielekea Kigali

Wakipewa support na Jose Chameleone wa Uganda, jana mapacha hao kutoka Nigeria walidhihirisha kuwa bado wanapendwa mno barani Afrika kwa kujaza watu 72,000 katika uwanja wa mpira wa Amahoro jijini Kigali, Rwanda.

Now that’s what we call a sellout concert!!

Chameleone akiwa kwenye stage
Chameleone akiwa kwenye stage

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents