P The MC ataja sababu za kutumia jina la Mawenge

P The MC ataja sababu za kutumia jina la Mawenge

Msanii wa mziki wa kizazi kipya P The MC ametoa sababu za kutumia jina la Mawenge likiwa kama mbadala wa P The MC.

Rappaer huyo huyo anaetoka katika kundi la SSK (sisi sio kundi)ametoa sababu hizo wakati anapiga stori na Bongo Five alipokuja kutambulisha ngoma yake mpya ya Noma Mwanangu.

P The MC pia ametaja sababu za kuipa ngoma yake jina la Noma Mwanagu aliyomshirikisha Dedy na kusema kuwa lengo kubwa la kuipa ngoma yake jina la Noma Mwanagu ni kutokana na stori zinazoendelea mtaani,ingawa haijawahi kumtokea yeye lakini imewatokea washikaji kibao.

na hii ndio ngoma yake.

By Ally Juma.

Related Articles

One Comment

Bongo5

FREE
VIEW