Habari
Pabo na Asha wang’ara Smilling Faces
By admin |
Katika kinyanyiro cha kumtafuta Model katika onyesho lililoandaliwa na Smilling Faces, Pabo Fabiani na Asha Mohamedi waliibuka washindi na kuwa ma Model kwa siku hiyo, kwa mujibu wa kura zilizopigwa na mamodel wenyewe.
Katika tamasha hilo la mavazi lili udhuliwa na wasanii na mamodel wengine ambao kwa sasa wanachipukia kwenye tasnia ya U-model
Jiunge na Bongo5.com sasa
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Add a comment
← Previous Story Wasanii wang’ara Smilling Faces
Next Story → Royal yaitimisha wanaandishi na watangazaji
Follow us