Michezo

Pacquiao aomba radhi baada ya kuwafananisha wanaofanya mapenzi ya jinsia moja na wanyama

Bondia wa Ufilipino, Manny Pacquaio, ameomba radhi baada ya kuwafananisha watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja na wanyama.

12523614_1136559659718003_240968944_n

Kauli hiyo iliwafanya Nike wasitishe mkataba wake.

Hata hivyo amedai hilo halimsumbui kwa lolote.

“I’m sorry for hurting people by comparing homosexuals to animals. Please forgive me for those I’ve hurt. I still stand on my belief that I’m against same sex marriage because of what the Bible says, but I’m not condemning LGBT. I love you all with the love of the Lord. God Bless you all and I’m praying for you,” ameandika kwenye Instagram.

Bondia huyo yupo kambini kujiandaa na pambano lake la April 9 na Timothy Bradley jijini Las Vegas.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents