Michezo

Pambano la ndondi la DMX na Zimmerman lasitishwa

Pambano la ndondi lililokuwa limepangwa kufanyika kati ya rapper DMX na George Zimmerman limesitishwa.

dmx-zimmerman

Promoter Damon Feldman alitangaza Jumamosi hii kuwa ameliondoa pambano, ikiwa ni siku nne kabla ya mkutano na waandishi wa habari na Zimmerman.

“Sahamani kwa yeyote atakayeumizwa na hili, lakini hii ilikuwa ni fursa kubwa,” Feldman alitweet.

“More to life then [sic] money. It was worth a lot of money to me, but people’s feelings meant more to me. I walked away from a million dollar payday with this fight but to be honest, I’d rather be happy and make people happy. Thank you.”

Kwenye interview na Rolling Stone, promoter huyo alifafanua uamuzi wake:

“Zimmerman was the wrong person to have in this. I looked into the eyes of my son and daughter today and couldn’t imagine someone killing them and getting off scot-free. It just really hurt. It was a tough decision because I could have made two million dollars here, but at least I have my dignity. I’m happy. Thank you.”

Mechi hiyo ilikuwa imepangwa kufanyika March 15.

Pambano hilo lilisababisha kuwepo na malalamiko ya mtandaoni yaliyomtaka promota huyo kulisitisha na takriban sahihi 100,000 zilikusanywa.

George Zimmerman alihusika kwenye mauaji ya Travon Martin (kijana Mmarekani mwenye asili ya Afrika) mwaka 2012 na mwaka jana aliachiwa huru.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents