BurudaniPromotion

Pancho Latino kuzungumzia mustakabali wa ‘B’Hitz Jumapili hii kwenye THE PLAYLIST ya Times FM

Jumapili hii kwenye THE PLAYLIST ya 100.5 Times fm Lil Ommy anamshusha Pancho Latino kutoka Bhitz. Pancho Latino ataheza nyimbo tano anazozipenda, atajibu maswali muhimu na pia atazungumzia muziki, wasanii na studio ya Bhitz.

THE PLAYLIST WITH PANCHO

Latino atafunguka mengi yanayoendela katika studio ya B’Hitz pamoja na kile kilichotokea katika siku za hivi karibuni. Je katika nyimbo hizo tano atacheza nyimbo zipi??? Ni Jumapili hii kwenye THE PLAYLIST kupitia 100.5 Times fm na Lil Ommy kuanzia Saa 10 hadi Saa 11 Jioni.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents