Burudani

Party ya Wtinesz na Mokeys katika Shhhhh!!

Witness_Mokeys_madafu_face

Mwanamuziki wa wakizazi kipya Witnesz, amefanya Party ya kipee kwaajili ya kukalisha video ya wimbo wake wa Shhhh!! ambayo amemshilikisha mumewe Mokeysz ambaye amevaa ‘Carwash’ . anasema Party hiyo ilikuwa ya kiasili zaidi na ndiyo maana vinywaji vilivyokuwewpo hapo ni Madafu.

 

Anasema ameamea kufanya kazi kimataifa zaidi, hivyo hata matamasha yake atayafanya kimataifa kwa kuuza tiketi kupitia malipo ya akaunti

Witnes_wapakapoda

Kama kawaida wapaka poda nao wakawemo humo kuuza sura
Witnes_Part_taa
Mataa ya kumwaga na vifaa vya kisasa kabisa vilikuwepo hapo ilikukamilisha party.

Witnesz

Witness__na_Mokeys_wakila_dafu
Sehemu hii mimi ndiyo niliyoipenda kwenda kila saa, ilikukamata madafu.
Witness_Zola_D

Mbabe Zola D naye alikuwepo kwenye video hiyo, akionyesha ubabe wake katika kuwakungutisha mabishoo.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents