Burudani

Pasaka ya Twanga Leaders

Twanga_wachezajiWanenguaji na Wanamuziki wa Twanga Pepeta chini Luiza Mbutu wakitoa buludani katika sikuku ya Pasaka ya jumapili  pale Leaders Club, hakika ilikuwa buludani miongoni mwa buludani zinazotolewa na bendi hiyo, wakati wa sikukuhiyo.

 

Walionyesha ule uwezo wao ambao kitambo ulitamba wa kutwanga na kupepeta.

Twanga_waimbaji

 

Twanga_Luiz_Mbutu

Luiza Mbutu akisimamia show ya Twanga kwa Pembeni, jumapili ya Pasaka pale Leaders Club

Twanga_pasaka

Twanga_wachezaji

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents