Burudani

Pascal wa BSS aanza kufanyiwa vipimo, matumaini mapya yapatikana! (Video)

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda ameanza kutimiza ahadi ya matibabu aliyoitoa kwa Mshindi wa BSS mwaka 2009, Pascal Cassian baada ya muimbaji huyo wa injili kuomba msaada wa matibabu kwa Watanzania kwa muda mrefu.

Muimbaji huyo ambaye anasumbuliwa na jereha la kibofu cha mkojo ililotokana na ajali ambaya ya gari aliyoipata miezi sita iliyopita.

Siku ya leo alifanyiwa vipimo katika hospitali ya Muhimbili na jioni ya leo alihamishiwa hospitali mpya ya chuo cha MUHAS Mloganzila kwa vipimo zaidi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents