Bongo5 ExclusivesBurudani

Pata Tiketi za tamasha la kesho maeneo haya

press_face

Kesho ndiyo Kesho kwenye viwanja vya Leaders Club, pale jamii ya kitanzania itakapokutana kwaajili ya kujumuika na familia zao na familia za jilani yao katika tamasha lililoandaliwa na Website ya Bongo5 na kinywaji chako murua cha Kilimanjaro chini ya Kampuni ya Breweries


Tiketi zimeshaanza kuuzwa kwa wingi, katika maduka yote ambayo ni Novel Ideal Book shop lililopo pale Steers  poster mpya, Jackies Pub maeneo ya Masaki, kwenye Maduka yote ya Zizou Fashion, Kona BAR  pande za Sinza Makumbusho Oil Com, Victoria,Zizou Barbaer shop pande za cocacola upande wa mikocheni karibu na Clouse Fm, Mile Pamba Classic Wear maeneo ya Mwenge kituoni,Abby Sinia Beutyndani ya Mbaramwezi beach, Coco Beach  Babershop na Cocobeach Oysterbay

press_bongo5

 

press_gurumo

 

press_twanga

 

press_lasta
press_kavishe

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents