Moto Hauzimwi
TECNO Spark 2

Patoranking aonyesha picha ya video aliyofanya na Diamond

Patoranking kutoka Nigeria ameendelea kuwatamanisha mashabiki kuhusu ngoma yake mpya aliyofanya na Diamond platnumz.

Msanii huyo ameweka picha kwenye mtandao wa Instagram, akiwa na hitmaker huyo wa Eneka, ambayo inaonyesha ni moja ya kipande kitakachoonekana kwenye video ya wimbo huo.

“World Best x Simba “LOVE YOU DIE” 1st Sept 2017 #Loveyoudie #Skylevel,” ameandika patoranking kwenye picha aliyoiweka katika mtandao huo.

Wimbo huo unatarajiwa kutoka septemba 1 ya mwaka huu.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW