Burudani

Patoranking kudondosha dude jipya na Diamond

Ikiwa ameachia ngoma kali na video tatu mfululuizo katika kipindi kifupu, tutegemee kumsikia Diamond Platnumz katika kolabo mpya na msanii Patoranking wa Nigeria.

Kwa mujibu wa Patoranking kupitia ukurasa wake wa Instagram, amepost picha ikionyesha kuna ujio mpya kati yake na Diamond ifikapo Septemba mosi mwaka huu.

“Wait for it…2 More videos “This Kind Luv ft Wizkid” ” Halle Halle” Drops next from #GOETheAlbum #Skyleve,” ameandika msanii huyo.

Hii itakuwa ngoma ya pili kwa msanii huyo wa Nigeria kutoka ngoma na masanii kutok kwnye Bongo Fleva, ngoma ya kwanza ‘Bajaj’ aliyoshirikishwa na kundi la Navy Kenzo.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents