Tupo Nawe

Patrick Aussems ‘uchebe’ kukifanyia mabadiliko kikosi cha Simba vs TP Mazembe , ni jasho na damu Lubumbashi (+video)

Kocha Patrick Aussems amesema kwa maandalizi ambayo wameyafanya kikosi kipo tayari kupata matokeo kwenye mchezo wa leo dhidi ya TP Mazembe.

Amesema kutakuwa na mabadiliko kadhaa ya kiufundi ambayo yatasaidia kuimarisha kikosi ili kifanye vizuri zaidi.

Simba ilitoka sare tasa ya bila kufungana kwenye mchezo wao wa hapa nyumbani dhidi ya TP Mazembe hivyo italazimika kucheza mchezo wa kushambulia huku wakijilinda kuhakikisha wanatoka na ushindi Lubumbashi.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW