Bongo Movie

Patrick Kanumba anena mazito Kanumba kuondoka na BongoMovie (Video)

Msanii wa filamu, Othman Njaidi aka Patrick Kanumba ambaye ni zao la marehemu Steven Kanumba alikuwa mmoja kati wa wasanii walioambatana na muigizaji wa Nigeria, Ramsey Nouah kutembelea kaburi la Steven Kanumba. Muigizaji huo pia alipata fursa ya kuzungumzia ishu ambayo inazungumzwa katika mitandao ya kijamii kwamba BongoMovie imekufa baada ya Steven Kanumba kufariki.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents