Mahojiano

Patrick Kanumba aongea kwa machungu “Familia ya Kanumba inanidai kitu, sijafanya chochote kwa ajili yake” – Video

Patrick Kanumba aongea kwa machungu "Familia ya Kanumba inanidai kitu, sijafanya chochote kwa ajili yake" - Video

Kijana aliyewahi kufanya kazi nyingi na kumbwa za filamu ambazo zilimtambulisha kwenye tasnia Patrick ambaye alijulikana sana kupitia filamu ya Uncle J J ameeleza kwa machungu sana kuwa “Familia ya Kanumba inanidai kitu, sijafanya chochote kwa ajili yake”

Ray kuhusu Kanumba“Namuombea sana kwa mungu ampumzishe mahale pema, ipo siku mungu atanichukua na ntakutana nae Inshaalla”

Ben kuhusu Mama Kanumba “Siwezi kumtupa lbda mungu anichukue”

By Ally Juma.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents