Michezo

Paul Lambert ateuliwa kocha mpya Blackburn Rovers

Aliyekuwa kocha wa zamani wa Aston Villa Paul Lambert ameteuliwa kuwa kocha mpya wa klabu ya Blackburn Rovers baada ya Gary Bowyer kufutwa kazi.

paul-lambert_a_2654666b

Lambert mwenye umri wa miaka 46 alifukuzwa na klabu hiyo ya Aston Villa mwezi Februari ambapo anasema kuwa kwa kipindi kifupi ambacho amekuwa nje ya timu hiyo anajiona aliyeimarika zaidi na kwamba kwa sasa anaangalia mbele.

Bowyer alitimuliwa kutokana na kufanya vibaya kwa klabu hiyo. Kati ya mechi 10 za ligi walizocheza alishinda mbili tu na kuifanya klabu yake ya Rovers kushika nafasi ya 16 katika msimamo wa ligi.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents