Michezo

Pedro atwaa tuzo ya bao bora mwezi Aprili

Mshambuliaji wa klabu ya Chelsea, Pedro Rodriguez amekabidhiwa tuzo ya Mfungaji wa bao bora la mwezi Aprili ligi kuu nchini Uingereza,

Tuzo hiyo amekabidhiwa jana siku ya Alhamisi, kutokana na bao safi alilofunga katika mchezo wake dhidi ya klabu ya Everton.

Mchezaji wa Chelsea ,Pedro Rodriguez,akifunga goli bora la Mwezi Aprili dhidi ya Everton

BY HAMZA FUMO

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents