Michezo
Penati ya Okwi iliyochezwa na Juma Kaseja wa Kagera Sugar (Video)
Penati pekee ambayo waliipata Simba dakika za mwisho na kuonekana kuwa mkombozi kwa wekundu hao wa Msimbazi, ilichezwa vizuri na golikipa mkongwe wa Kagera Sugar, Juma Kaseja baada ya kumsoma vizuri, Emmanuel Okwi.