Burudani

Penzi la Cardi B lamliza Offset,hiki ndio alichokiandika kuhusu Cardi B, baada ya kutengana kwa siku kadhaa

Rapper kutoka nchini Marekani akiwa ni miongoni mwa wanaounda kundi la Migoss akiwa pamoja na wenzake kadhaa, Kiari Kendrell Cephu alimaarufa Offset ameshindwa kuvumilia baada ya kutengana na mama watoto wake Cardi B.

Offset na Cardi B wametengana siku tano zilizopita nyuma baada ya Cardi B kucharuka na kutangaza kutengana na Baba mtoto wake Offset, baada ya wawili hao kutengana aliweza kujitokeza mwanadada mmoja aliyejulikana kwa jina la Summer Bunny na kupost kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii akionyesha kuomba msamaha akidai yeye ndio aliyechangia wawili hao kutengana.

Jana Rapper huyo Offset aliweza kutweet na kuandia maneno yaliyoonyesha fika kweli amemiss mama mtoto wake ambaye pia ni rapper Cardi B amabye anajulikana kwa jila la kuzaliwa kama Belcalis Marlenis Almanzar.

Ujumbe wa Offset ni huu hapa:-

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents