Burudani

Penzi la Travis na Kylie Jenner lazidi kupamba moto

Penzi kati rapper Travis Scott na mrembo kutoka familia ishiyoishiwa stori ya Kardashian, Kylie Jenner linazidi kupamba moto na kunoga zaidi.

Rapper huyo ametumia nafasi yake vizuri kwa kumpatia zawadia ya cheni mrembo huyo yenye thamani ya kiasi cha dola 60,000, katika birthday yake.

Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ umeeleza kuwa katika siku hiyo Kylie alikuwa akitimiza miaka 20, na zawadi hiyo aliyomletea na mpezi wake huyo ikikuwa na mchanganyiko wa vito vya thamani ikiwemo Almasi.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents