Burudani ya Michezo Live

Penzi la Wolper na mpenzi wake Chid Desgner lavunjika, “Wolper yuko busy sana mimi siwezi” – Video

Baada ya kuvalishwa pete ya uchumba wiki iliyopita @wolperstylish na aliyekuwa mpenzi wake @chidy_designs mwishowe penzi hilo limevunjika. Akiongea mbunifu wa mavazi huyo @chidy_designs ameeleza kuwa kuna vitu hajikaa sawa hasa kwenye upande wa kibiashara zaidi.

Mbali na hilo ameeleza kuwa yeye alikuwa kwenye mahusiano na @wolperstylish kwa zaidi ya mwaka ingawa hakutaka kuyaweka wazi mahusiano yao.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW