Michezo

Pep Guardiola Ataka Manchester City kuwasajili Paulg Pogba na John Stones

Kocha Pep Guardiola baada ya kutangazwa kuanza kazi mapemaa ndani ya kikosi cha Manchester City mwishoni mwamsimu huu katika majira ya Joto amewataka City ianze “kuvunja benki” mapema.

article-3427254-30CD923B00000578-377_308x235

Guardiola ametaka City ifanye inavyoweza kumnasa kiungo Paulg Pogba wa Juventus.

30C233C300000578-0-image-m-3_1454363508327

Pogba anapatikana kwa kitita cha pauni milioni 80 na anawaniwa na timu vigogo kama Real Madrid, Chelsea na Barcelona.

30A453CF00000578-3427254-image-a-23_1454367144328

Pamoja na Pogba pia Guardiola ameitaka City kuhakikisha inampata beki wa Everton, John Stones hata kwa kutoa pauni milioni 50 kumnasa.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents