Michezo

Pep Guardiola atia saini kuwa meneja Manchester City

Kocha Mhispania, Pep Guardiola hatimaye amesaini mkataba wa miaka mitatu kuwa meneja mpya wa Manchester City baada ya msimu huu kumalizika.

30C39D4800000578-3426462-image-m-10_1454332243899

Guardiola, atachukua majukumu hayo kuanzia Julai, klabu hiyo ya ligi ya premier imetangaza. Manuel Pellegrini ataondoka klabu hiyo Juni 30 baada ya kumalizika kwa msimu wa sasa.

“Kutokana na heshima yetu kwa Manuel Pellegrini na wachezaji, klabu ingependa kufanya wazi uamuzi wake ili kuondoa nafasi ya uvumi,” City wamesema kupitia taarifa kwenye tovuti yao.

“Manuel, ambaye anaunga mkono kikamilifu uamuzi wa kufanya tangazo hili, anaangazia kutimiza malengo yake ya msimu huu na anadumisha kujitolea na heshima ambayo amekuwa nayo machoni na wote wanaohusika katika uongozi wa klabu.”

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents