AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

Peter na Paul Okoye wamjibu kaka yao, Jude Okoye baada ya kuwatakia heri katika kusherekea siku yao ya kuzaliwa

Leo Novemba 18, Peter na Paul Okoye waliokuwa wakijulikana kama  Psquare wanaadhimisha kuzaliwa kwao. Wawili hao wamezaliwa Novemba 18 mwaka 1979 ambapo leo wanasherekea miaka 39 ya uhai wao.

Kaka yao mkubwa Jude Okoye  ambaye ni Mtendaji maarufu wa muziki alituma picha ikiwaoneesha enzi za utoto wa Peter na Paul kwenye mtandao wa Instagram ikiashiria kwamba ameweka kando tofauti alizokuwa nazo hapo awail  kwa Peter. Katika picha hiyo, Jude aliandika  ‘Happy birthday to @rudeboypsquare @peterpsquare ???More life ??.’

Na Raheem Rajuu

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW