Peter Okoye: Kuongea Kiingereza kizuri hakunipi chakula mezani


Katika mapacha wa P-Square mzungumzaji zaidi ni Peter Okoye. Mara nyingi Paul Okoye (mwenye rasta) si chakaramu kama alivyo nduguye.

Juzi Peter alijikuta kwenye vita vikali vya maneno baada ya shabiki mmoja aliyemponda kwa kuzungumza Kiingereza kibovu chenye mchanganyiko na kabila la Ibo.

Vita hiyo ilisababishwa pia na topic ya May D waliyemtimua mwezi uliopita ambapo shabiki mmoja aitwaye Rececca Roberts alimwambia Peter, “u guys introduced May D to us we love him too, now u want to try and kill his career, seriously though, you are not God. Don’t care about ur accent, but it’s a tad vindictive of your guys to remove all of May d videos from youtube, why playing God?”

Baada ya shutuma hizo ndipo Peter alipoanza kuporomosha lundo la tweets akidai kuwa Kiingereza hakimpi chakula mezani.

“WTF! U hate my accent dat I sound so Ibotic?… Am a bloody f*cking ibo boy incase u don’t knw… Shiitt!,” alitweet.

“Am so happy dat ma MILLIONS of $€£ speaks better ENG than I do,” aliongeza.
Alimalizia kwa kusema, “Speaking good English isn’t what put food on my table.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents