Picha

Thamani ya nyumba mpya ya Peter wa P-Square iliyopo Marekani ni zaidi ya tsh bilioni 4!!

ea3fc2be5b5111e2b5f422000a1f9a34_7

Pamoja kundi la P-Square kumiliki kwa pamoja nyumba ya kifahari nchini Nigeria iitwayo Squareville ambayo imejengwa kwa mabilioni ya shilingi, Peter Okoye ambaye ni mmoja wa mapacha hao ameonesha nyumba yake anayomiliki huko San Fransisco, Marekani.

Kwa mujibu wa vyanzo, thamani ya nyumba hiyo ni $2,750,000 ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni 4 za Tanzania.

Katika picha inayoionesha nyumba hiyo aliyoiweka kwenye mtandao wa Instagram Peter ameandika “My little Squareville in San Fransisco ….. Thank u Lord.”

Tazama picha za ndani ya nyumba hiyo na uone jinsi hawa jamaa walivyo na utajiri.

Peter akimsaidia mchumba wake kupika
Peter akimsaidia mchumba wake kupika

07b78ed65b4c11e28b9422000a1fbe38_7

Damn!
Damn!
Family time
Family time
Wow! Nice Crib for sure
Wow! Nice Crib for sure
Sebule haikosi Piano
Sebule haikosi Piano
Mtoto wa Peter akicheza
Mtoto wa Peter akicheza

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents