Burudani

Peter wa P-Square awapa somo wasanii chipukizi

By  | 

Msanii wa kundi la P-Square, Peter Ooye ametema cheche kwa wasanii wachanga katika muziki.

Peter amewataka wasanii hao wasiingie kwenye muziki kwa ajili ya kutaka mafanikio ya haraka, bali waanze kuipenda kazi hiyo ndio watafanikiwa.
Akiongea na Hip Tv, msanii huyo amesema, ” Wasanii wengi wanakuja kwenye muziki kwa ajili ya kudhani watapata mafanikio. Wanaona kunaendesha gari, unaishi kwenye nyumba nzuri hawajui kuwa nje ya muziki kuna vitu vingine.”

“Wengi hawana upendo na muziki. muziki sio tu kufanya kupoata hela, muziki ni kujua upo hapo kwa sababu gani na ujiulize kwanini unafanya hivyo,” ameongez Peter.

Na Laila Sued

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments